Wednesday, 24 May 2017

KILIMO BORA PATO BORA

  • Tikitimaji lililoasirika na Ubwiru juu (Powdery mildew )  ikiwa katika aina ya umwagiliaji wa Drip Irrigation (matone)

          Dalili za huu ungonjwa...utaona majani yanakuwa kama yamemwagiwa unga ua majivu
         Tiba yake
         Tafuta dawa yenye kiambato...Difenoconazole ..kama vile Score.


 Uunganishaji wa mipira ya Drip irrigation katika shamba la Nyanya 


 Filter ya Drip irrigation ni matenngenezo ya kusafisha ili kutoa uchafu.
 Kitaru bora cha nyanya aina ya Kilele nyenye pato kubwa kikiwa kimeezekwa ili kuepusha jua kali kuchoma miche ya nyanya.

  •  Haya ni matibabu ya Nguluwe nya minyoo ambayo huchomwa kati ya ngozi na nyama kwa dawa ya Ivermectin, (Anthelmintics) ni kundi la dawa ya minyoo kama >Nitroxinil hii ni dawa ya minyoo inayotibu minyoo aina ya Fascioliasis (mature and immature Fasciola hepatica)katika wanyama Ng'ombe,Kondoo na Mbuzi Pia kuna Ivermectin hii ni dawa ambayo hutibu minyoo ya Ndani na Nje (External and internal parasites in Cattle,Sheep,Goat,Pig,and Camel.                                                                                          Alafu kuna dawa ya Levamisole HCL pia ni ya minyoo ila ina chomwa kwenye nyama (intramuscular injection)












  •  Matibabu ya Iron madini chuma kwa Nguluwe wakiwa na siku tatu baada ya kuzaliwa ni mls 2 kwa kila kitoto cha nguluwe.


Kifaa cha kupimia Udongo (pH soil measure). 

No comments:

Post a Comment

AGRICOMLIZY®

KILIMO CHA MAHINDI

MAHINDI Mahindi ni zao muhimu sana katika kilimo hapa nchini na hukuzwa na takribani 70 % ya wakulima wa hapa Tanzania. Maeneo yanayoongo...